HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mahakama ya Mombasa yaamuru mwalimu mkuu wa St. Augustine kukamatwa

Mahakama kuu mjini Mombasa imetoa amri ya kumkamata mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya St. Agustine Preparatory kesi sawa na wengine wanne kufuatia kifo cha mwanafunzi wa miaka 6 wiki iliyopita aliyekanyagwa na basi la shule hiyo.
Hii ni baada yao kukosa kujiwasilisha kortini hii leo.

Show More

Related Articles