Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Maandalizi ya Uchaguzi : Kufanya majaribio ya kimitambo tarehe 31 Julai

Tume ya uchaguzi nchini itafanya majaribio ya kitaifa ya mitambo ya kielectroniki itakayotumika wakati wa kupigia kura mnamo tarehe 31 mwezi Julai, ili kuhakikisha kuwa iko shwari.
Haya yamesemwa na kamishna wa tume hiyo Roselyn Akombe. kufikia sasa mitambo hiyo inadhibitisha kuwa iko shwari na hivyo basi hakufai kuwa na wasiwasi kuwa itafeli.

Show More

Related Articles