HabariMilele FmSwahili

Abduba Dida ajiondoa kwenye mdahalo wa urais

Mgombea urais Abduba Dida amejiondoa kwenye mjadala wa urais unaotarajiwa baadaye leo. Dida anavilaumu vyombo vya habari akisema vinaendesha shughuli hiyo kwa ubaguzi. Wagombea hao wamewekwa kwenye makundi mawili awamu ya kwanza ikitarajiwa kuanza mwendo wa saa kumi na moja unusu na awamu ya pili saa mbili.

Show More

Related Articles

One Comment

  1. its obvious that dida was going to boycoat the debate because he at first sued the debate organizers in a court of law

Leave a Reply

Your email address will not be published.