HabariMilele FmSwahili

Maafisa 7 wa polisi watupwa rumande kwa madai ya wizi wa mabavu

Maafisa saba wa polisi wametupwa rumande mjini Limuru kwa madai ya kumwibia kwa kutumia mabavu mwanakandarasi raia wa China shilingi milioni 2.7. Polisi wamepewa siku mbili na mahakama ya Limuru kukamilisha uchunguzi wao.

Show More

Related Articles