MichezoPilipili FmPilipili FM News

Sanchez Hauzwi Asema Wenger.

Mkufunzi mkuu wa kilabu ya Arsena Arsene Wenger amekiri kwamba kwa sasa kilabu ya PSG imemgeukiwa mchezaji nyota wa Barcelona  Neymar baada yakumkosa Alexis Sanchez.

Wenger amepinga madai kuwa tayari PSG wanakaribia kumsaini Sanchez akisema hakuna ukweli wowowte kwani mchezaji huyo haendi popote nab ado nimchezaji wa kilabu ya Arsenal.

Sanchez ambaye  hajasaini mkataba mpya na kiabu hiyo ya London kaskazini bado anadaiwa kushikilia kutaka mshahara wa pauni 400,000 kwa wiki swala ambalo wachanganuzi wanasema huenda ikawa kikwazo kwa Arsenal kumueka Emirates.

Manchester city ni miongoni mwa vilabu vinavyo mtaka nyota huyo lakini Wenger hangependa mchezaji huyo ajiunge na wapinzani wao wa ligi kuu uingereza.

 

Show More

Related Articles