HabariMilele FmSwahili

Mdahalo wa wawaniaji urais kufanyika leo

Huku mdahalo wa wawaniaji urais ukisubiriwa baadaye leo hiajabainika iwapo wawaniaji wakuu rais Uhuru Kenyatta na kinara wa NASA Raila Odinga wartahudhuria. Wawili hao wameratibiwa kuchuana kuanzia saa moja usiku wa leo. Aidha kulingana na waandalizi mdahalo hao wagombeaji watahitajika kuangazia jinsi watatatua changamoto mbali mbali zinazowakumba wananchi ikiwemo hali ya uchumi na jinamizi la ufisadi. Viongozi mbali mbali wa kisiasa wameelezea imani kuwa wawili hao watatumia mdahalo kuangazia maswala hayo.

Show More

Related Articles