HabariMilele FmSwahili

Raila: Tuko tayari kwa uchaguzi wa Agosti nane

Mgombea urais wa NASA Raila Odinga amesema wako tayari kwa uchaguzi wa Agosti nane. Akiwahutubia wenyeji wa Mathare hapa Nairobi,Raila amesema wamejiandaa vilivyo kukabiliana na wapinzani wao. Hata hivyo Raila amesema watakubali tu matokeo ya uchaguzi utakaokua huru na haki. Wamewataka polisi kutokubali kutumiwa kwa njia yeyote kuhitilafyana na uchaguzi.

Show More

Related Articles