HabariMilele FmSwahili

Kaunti ya Taita Taveta ni ya tatu kuathirika na dawa za kulevya kanda ya Pwani

Kaunti ya Taita Taveta ni ya tatu kati ya kaunti zilizoathirika na matumizi ya dawa za kulevya ukanda wa Pwani,baada ya kaunti za Mombasa na Kilifi. Haya yamewekwa wazi na halmashauri ya NACADA, kupitia maafisa wake wanaoendela kuhamasisha umma  huko Taita Taveta kuhusiana na athari ya utumizi wa mihadarati.

Show More

Related Articles