HabariMilele FmSwahili

WHO inahofu kipindupindu inaweza sambaa hadi mataifa jirani

Shirika la afya duniani WHO sasa linaibua hofu ya kusambaa kipindupindu hadi mataifa jirani kufuatia kukithiri mkurupuko huo humu nchini. WHO inasema kuathirika kaunti ya Nairobi ni tishio kwa mataifa jirani. Ni hofu inayobuka huku idadi ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa huo ikifikia 14 na wengine zaidi ya elfu 1 kulazwa hospitalini.

Show More

Related Articles