HabariMilele FmSwahili

Mbunge Samuel Arama awaonya wanasiasa na mashirika ya kijamii kukoma kueneza propaganda

Mbunge wa Nakuru Town West Samuel Arama amewaonya wanasiasa na mashirika ya kijamiii kukoma kueneza propaganda dhidi ya taasisi zilizobuniwa kisheria. Akizungumza katika eneo bunge lake,Arama ameelezea hofu kukosekana kwa amani kwa wakenya dhidi ya idara huru iwpao wanasiasa hawatakoma kuzikashifu. Akitolea mfano jinsi tume ya IEBC ilivyokosolewa na muungano wa NASA kwa madai ya kutofuata utaratibu katika utenda kazi wake,Arama anaonya hatua hiyo itapelekea kutokea sintofahamu nchini.

Show More

Related Articles