HabariMilele FmSwahili

NASA kupeleka kampeini zake kaunti za TanaRiver na Lamu

Vigogo wa muungano wa NASA wanapeleka kampeini zao kaunti za Tana River na Lamu mtawalia. Wana NASA wakiongozwa na mgombea urais Raila Odinga Raila na mgombea mwenza Kalonzo Musyoka wataanza ziara yao Tana River kwa kuwahutubia wenyeji wa Hola kisha kufululiza hadi Lamu. Ni ziara wanayoifanya siku moja tu baada ya NASA kuwaislsiha kesi mahakamani kupinga marufuku ya kutotoka nje iliowekwa dhidi ya wananchi wa kaunti za Lamu, Tana River na kaskazini mashariki. Jana vigogo wanne wa NASA walichukua mapumziko ya kisiasa huku Kalonzo akipiga kambi kaunti ya Makueni ambapo aliwarai wenyeji kuwachagua wanasiasa wa Wiper katika uchaguzi mkuu.

Show More

Related Articles