HabariMilele FmSwahili

Matiang’i akanusha madai yakutumika na Jubilee kushawishi IEBC

Kaimu waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiangi amekanusha madai anatumika na Jubilee kushawishi IEBC. Akipuuza madai hayo ambayo yamekuwa yakitolewa na upinzani, Matiangi anasema sababu zake kukutana na IEBC ni kwa minajili ya kuhakikisha wanawiana katika maswala ya kuhakikisha uchaguzi unaandaliwa katika mazingira salama.

Show More

Related Articles