HabariMilele FmSwahili

Jubilee yaendeleza kampeini zake jijini Nairobi

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wanaongoza misururu ya mikutano ya kisiasa Nairobi leo. Rais na naibu wake wanatarajiwa kuzuru mitaa mbalimbali ikiwemo Kasarani, Dagoretii,Mathare Huruma na kisha mkutano mkubwa wa hadhara katika uwanja wa Jacaranda. Kaunti ya Nairobi ina wapiga kura milioni 2.1 ambao rais na naibu wake wananuia kuwashawishi kuwapigia kura Agosti nane.

Show More

Related Articles