HabariMilele FmSwahili

Junet Mohammed aachiliwa kwa bondi ya nusu millioni

Mahakama imemuachilia huru kwa bondi ya shilingi nusu milioni mbunge wa Suna mashariki Junet Mohamed. Junet leo asubuhi nyumbani kwake Suna na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uchochezi. Polisi wanasema semi zake huenda zikachochea ghasia nchini. Kesi hiyo itasikizwa tarehe 24 October mwaka huu.

Show More

Related Articles