HabariMilele FmSwahili

Thambo Mbeki apongeza jinsi idara ya polisi nchini imejiandaa kusimamia uchaguzi

Mkuu wa waangalizi wa uchaguzi wa umoja wa Afrika humu nchini Thambo Mbeki amepongeza jinsi idara ya polisi nchini imejiandaa kusimamia uchaguzi. Mbeki ambaye amekutana na kaimu waziri wa usalama wa ndani Dr Fred Matiangi, ameelezea kufurahishwa na mikakati ya polisi kuhakikisha taifa linasalia utulivu wakati na baada ya uchaguzi .

Show More

Related Articles