HabariMilele FmSwahili

IEBC yaanza kuvipokeza vyama vya kisiasa orodha ya maafisa watakaosimamia uchaguzi

IEBC imeanza kuvipokeza vyama vya kisiasa orodha ya maafisa watakaosimamia uchaguzi. Ni hatua IEBC imechukua baada ya muungano wa NASA kudai iwapo baadhi ya maafisa wa polisi waliojumuishwa katika orodha hiyo kwa nia ya kuiba kura. Nayo idara ya polisi imejitokeza kimasomaso kujibu madai hayo, msemaji Charles Owino akiyakanusha na kusema jukumu lao katika uchaguzi ni kuimarisha usalama.

Show More

Related Articles