HabariMilele FmSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi iliyotaka kuhairishwa kwa uchaguzi iwapo mfumo wa kielektroniki utafeli

Mahakama imetupilia mbali kesi iliyotaka kuahirishwa uchaguzi iwapo mfumo wa upigaji kura wa kielektroniki utafeli siku ya uchaguzi. George Kimondo,Hedwig Ong’undi na Alfred Mabeya wanasema muungano wa NASA imeshindwa kudhihirishwa IEBC imefeli kuweka mikakati ya kuwa na mfumo mbadala utakaohakikisha upigaji kura hauathiriwi. Hata hivyo NASA kupitia wakili wake Paul Mwangi imeelezea kutoridhishwa na uamuzi huo ikisema itakata rufaa.

Show More

Related Articles