HabariMilele FmSwahili

Gavana David Nkedianye angehifadhi kiti chake uchanguzi ungefanyika leo

Gavana wa Kajiado David Ole Nkeidianye angehifadhi kiti chake iwapo uchaguzi ungeandaliwa leo kaunti hiyo kwa mujibu wa utafuti wa shirika la Infotrack. Utafiti huo umebaini kuwa Nkiedianye anaongoza kwa asilimia 52.7 ya umaarufu akifuatia na mgombea wa chama cha Jubilee Joseph Ole Lenko kwa asilimia 41. Wakazi 750 walihojiwa katika utafufi huo.

Show More

Related Articles