MichezoMilele FmSwahili

United wailaza Manchester City 2-0

Manchester United imezoa ushindi wa magoli  2-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Manchester City katika debi ya kwanza ugenini huku ziara za mwaka wa 2017  zikiendelea .

Romelu Lukaku na Marcus Rashford waliifungia United mabao hayo mawili yaliyotiwa kimiani katika kipindi cha kwanza.

Lukaku alifunga mnamo dakika ya 37 kisha rashford akaongeza la pili dakika mbili baadaye.

Show More

Related Articles