HabariMilele FmSwahili

Mwanafunzi afariki baada ya kukanyagwa na basi la shule yake Mombasa

Mwanafunzi wa chekechea amefariki baada ya kukanyagwa na basi la shule yake katika mtaa wa Majengo mjini Mombasa. Inaarifiwa mtoto huyo wa kiume wa miaka saba amekanyagwa na basi hilo alipoangoka kutoka ndani ya basi. Aidha dreva wa basi ameripotiwa kutoroka. Polisi wanachunguza kisa hicho.

Show More

Related Articles