HabariMilele FmSwahili

Mbunge wa Suna mashariki Junet Mohamed akamatwa

Mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohamed amekamatwa. Junet anadaiwa kutoa semi zinazotishia kuchochea uhasama miongoni mwa wananchi. Junet aidha amedhibitisha kukamatwa na kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Homabay mbunge huyo atafikishwa mahakani asubuhi hii.

Show More

Related Articles