HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Barobaro aanzisha kituo cha redio Nakuru licha ya elimu duni

Kwa wengi kupata elimu ndiyo kipimo cha taaluma ya ubunifu, ila kwa wachache hali huenda ikawa tofauti.
Ndivyo hali ilivyo kwa Peter Ngugi, kijana mwenye umri wa miaka 18 kutoka eneo la Subukia kaunti ya Nakuru ambaye licha ya kufikisha masomo yake katika darasa la nane ,ameweza kuanzisha kituo chake cha redio kupitia ubunifu wake.

Show More

Related Articles