Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Vinara waelezea kutoridhishwa kwao na uamuzi wa leo kortin

Viongozi wa muungano wa upinzani NASA wamesema kuwa japo
hawajaridhishwa na uamuzi wa mahakama ya rufaa kuhusiana na kesi iliyokuwa inagusia uchapishaji wa karatasi za kura ya urais, wao bado wako imara na tarehe nane mwezi Agosti watakabiliana na Jubilee kwenye debe.
Wakizungumza katika maeneo tofauti leo kwenye msururu wa kampeni zao, vigogo hao wamezidi kuwarai wafuasi wao kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura na pia wawe macho ili kura za NASA zisiibwe.

Show More

Related Articles