HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Embakasi Mashariki latajwa kama eneo lililoathirika zaidi na Kipindupindu

Eneo bunge la Embakasi mashariki limetajwa kama eneo lililoathiriwa zaidi na mkurupuko wa ugonjwa wa Kipindupindu.
Watu wanne wamefikishwa katika kituo cha afya cha mtaa wa mabanda wa Mukuru kwa Ruben wakiwa na dalili za ugonjwa huo.
Hayo yakijiri hoteli ya San Valencia ambayo ni moja kati ya hoteli mbili zilizotolewa agizo na wizara ya afya kusitisha shughuli imefunguwa.
Hata hivyo K24 imebaini kuwa hoteli ya Jacaranda bado inaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Show More

Related Articles