HabariMilele FmSwahili

Jubilee yapongeza uamuzi wa majaji kuruhusu Alghurair kuchapisha karatasi za kura ya urais

Viongozi wa Jubilee wamepongeza uamuzi wa majaji watano wa mahakama kuu ambao wameruhusu Alghurair kuchapisha karatasi za urais. Katibu wa chama hicho Raphael Tuju anasema uamuzi huu umewahakikishia wakenya uchaguzi utafanyika Agosti nane. Tuju amesema mahakama imewatendea haki wakenya kwani upinzani ulilenga kutumia kesi hiyo kuhujumu maandalizi ya uchaguzi huo.

Show More

Related Articles