HabariMilele FmSwahili

Mary Wambui: Rais mustaafu Mwai Kibaki yu buheri wa afya

Mbunge wa Othaya Mary Wambui anasema rais mustaafu Mwai Kibaki yu buheri wa afya kinyume na uvumi uliokuwepo kuhusu afya yake. Wambui anasema amekuwa na Kibaki hivi majuzi akiwa na afya njema na kutuma salama zake kwa wakenya. Usemi wake unafuatia madai yaliyoenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa rais Kibaki alikuwa amelazwa. Ni madai ambayo yaliyikuwa pia yamekanushwa na msemaji wa Kibaki Ngari Gituku.

Show More

Related Articles