HabariMilele FmSwahili

Mwanafunzi wa chuo cha Moi ajisalimisha kwa polisi kwa kuhusishwa na ugaidi

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Moi amejisalimisha kwa polisi jijini Nairobi kwa madai ya kuhusishwa na ugaidi. Salad Tari Gufu amewaambia polisi kuwa alikuwa miongoni mwa washukiwa wa ugaidi wanaosakwa na polisi. Salad anazuiliwa uchunguzi ukiendelea.

Show More

Related Articles