HabariMilele FmSwahili

Raila adai Jubilee inanuia kuwatumia polisi kuiba kura

Mgombea urais wa NASA Raila Odinga sasa anadai Jubilee inanuia kuwatumia polisi kuiba kura. Raila anasema maafisa 42 wameteuliwa kutekeleza njama hiyo.Aidha ameendela kuituhumu Jubilee kwa kumtumia kaimu waziri wa usalama Fred Matiangi kufanikisha mpango wa wizi wa kura.

Show More

Related Articles