HabariMilele FmSwahili

Thuo Mathenge apata pigo baada ya mahakama kutupilia mbali ombi lake

Ombi la muaniaji ugavana kaunti ya Nyeri kwa mahakama kuu ya Nyeri kushinikiza tume ya IEBC kujumuisha jina lake katika wawaniaji ugavana limetupiliwa mbali. Jaji wa mahakama hiyo Abigail Muchira ameamua kuwa Mathenge hakufuatia mpangilio ufaao kisheria. Amesema Mathenge alipaswa kuwasilisha lalama zake kwa kamati ya kushughulikia mizozo ya tume ya uchaguzi IEBC.

Show More

Related Articles