HabariMilele FmSwahili

Waiguru aongoza kwa umaarufu katika kinyanganyiro cha ugavana Kirinyaga

Yakijiri hayo Anne Waiguru anaongoza kwa asilimia 55 ya umaarufu katika kinyanganyiro cha ugavana kaunti ya Kirinyaga. Mpinzani wake wa karibu Martha Karua ana asilimia 35 naye gavana wa sasa Joseph Ndathi ana asilimia tatu. Kwengineko gavana wa Kilifi Amason Kingi anaumaarufu wa asilimia 51 huku mbunge wa Kilifi Kaskazini Gideon Mungaro na Kazungu Kambi wakifuatia kwa asilimia 16 na 15 mtawalia.

Show More

Related Articles