Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Kampeni za Jubilee zachacha Changamwe,Rabai,Taveta,Wundanyi,Mwatate na Voi

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto sasa wamemtaka kinara wa upinzani Raila Odinga kumkoma kaimu waziri wa usalama Fred Matiang’i, baada ya wawili hao kudai eti ana njama ya kutumia mamlaka yake kuiba kura wakati wa uchaguzi wa agosti nane.
Wakizungumza wakati wa kampeini za Jubilee katika kaunti ya Taita Taveta, Uhuru na Ruto wamesema ni aibu kwa Odinga na viongozi wengine wa upinzani kuingilia masuala ya usalama wa uchaguzi, ilhali Matiang’i anatekeleza majukumu yake ya kikatiba.
Kiama Kariuki yuko Taita Taveta na ametuandalia taarifa hii.

Show More

Related Articles