HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Dereva na Kondakta wahukumiwa kifo kwa kumdhihaki mwanamke

Dereva mmoja wa shirika la matatu la Nazigi pamoja na utingo na vilevile muuzaji wa mafuta katika kituo kimoja jijini wamehukumiwa kifo, baada ya kupatikana na hatia ya kumdhulumu kwa kumvua nguo mwanamke mmoja aliyekuwa mteja wa matatu hiyo miaka mitatu iliyopita mtaani Githurai.
Tukio hilo lilivutia hisia tofauti katika mitandao ya kijamii kutokana na video iliyosambazwa huku wakenya wengi wakitaka washukiwa wachukuliwe hatua kali.

Show More

Related Articles