HabariPilipili FmPilipili FM News

Mwakwere Awasuta Wapinzani Wake.

Mgombea wa  ugavana kaunti ya Kwale kupitia chama cha wiper  Chirau Ali Mwakwere amemtaja mgombea mwenza wa ugavana wa chama  cha ODM Simon Mkalla  kuhusika na kashfa za ufisadi wakati akihudumu kama mkurugenzi wa bandari nchini KPA

Mwakwere amedai kashfa hizo ndizo zilizochangia yeye  kumtema mkalla kama mgombea mwenza, na badala yake kumchukua mwalimu wa zamani  wa shule ya upili ya kinondo  Omari Chigodi.

Hata hivyo Mkala amepuzilia mbali  madai  hayo na kuyataja kama yasiokuwa na msingi .

Show More

Related Articles