HabariMilele FmSwahili

Serikali kuweka vituo 10 vya tiba Nairobi kusaidia kukabiliana na kipindupindu

Serikali inalenga kuweka vituo 10 vya tiba maeneo mbali mbali hapa jijini Nairobi kisaidia kukabiliana na kipindupindu kufikia jioni ya leo . Waziri wa afya daktari Cleopa Mailu anasema vituo hivyo vitawekwa hasaa maeneo yaliyoathirika zaidi na maradhi hayo. Anasema hatua hiyo itasaidia kuuzia kusambaa kwa ugonjwa huo ambao tayari umesababisha vifo vya watu 4 na wengine zaidi ya 60 kulazwa hospitalini Kenyatta.

Show More

Related Articles