HabariMilele FmSwahili

TSC yasitisha zoezi la kuwapandisha walimu vyeo

Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC imesitisha zoezi la kuwapandisha vyeo katika nafasi za usimamizi wa shule. TSC inasema imesitisha zoezi hilo ili kutekeleza mpangilio na sheria mpya zinazosimamia uajiri kupitia zoezi lenye ushindani zaidi.

Show More

Related Articles