HabariMilele FmSwahili

Kesi ya Maina Kiai dhidi ya IBEC yatupiliwa mbali

Mahakama imetupilia mbali kesi iliyowailishwa na mwanaharakati Maina Kiai na watu wengine wawili dhidi ya tume ya IEBC. Kiai na wenzake waliwawasilisha kesi hiyo wakitilia shaka taratibu zilizotumika kwenye uagizaji wa mitambo ya BVR itakayotumika kwenye uchaguzi wa Agosti nane. Katika uamuzi wake jaji John Mativo anasema IEBC imedhibitisha kuwa ilishirikisha umma kwenye uagizaji wa mitambo hiyo.

Show More

Related Articles