HabariMilele FmSwahili

Jaji Maraga awataka mawakili waliosajiliwa kuzingatia maadili ya kazi

Jaji mkuu David Maraga amewataka mawakili waliosajiliwa kuhudumu katika idara za serikali kuzingatia maadili ya kazi. Akiongea baada ya kuongoza shughuli ya usajili wa mawakili 102,jaji David Maraga ametoa hakikisho mrundiko wa kesi 400,000 zilizokuwepo kwa muda wa miaka 5 iliyopita zitasikizwa na kuamuliwa kufikia mwaka ujao.

Show More

Related Articles