HabariMilele FmSwahili

Idadi ya waliofariki kutokana na kipindupindu Nairobi yafikia 4

Idadi ya watu waliofairiki hapa Nairobi kutokana na kipindupindu imefikia 4. Waziri wa afya Dr Cleopa Mailu anasema wagonjwa 67 wanaougua maradhi hayo wamelazwa katika hospitali ya Kenyatta na wengine 12 katika zahanati mbali mbali hapa Nairobi. Kwa mujibu wa Mailu kaunti za Nairobi na Garissa ndizo zilizothirika zaidi.

Show More

Related Articles