HabariMilele FmSwahili

Karatasi zote za kupigia kura kuwasili nchini ifikapo Agosti 3

Karatasi zote za kupigia kura zitakuwa humu nchini ifikiapo Agosti 3. Ndilo hakikisho la IEBC, baada ya shehena ya kwanza kuwasili jana usiku. Kamishna Consolata Nkatha anasema kwa sasa wamepokea karatasi za ugavana za kaunti 41 pekee huku zilizosalia zikitarajiwa baadaye juma hili. Ametoa hakikisho la kuhifadhiwa salama karatasi hizo hadi siku ya uchaguzi.

 

Show More

Related Articles