HabariMilele FmSwahili

Mwili wa mwendazake Nicholas Biwot wawasili mjini Eldoret

Mwili wa mwendazake mwanasiasa mkongwe Nicholas Biwot umewasili mjini Eldoret. Jamaa na famili na viongozi wa kaunti za Uasingishu na Elgeiyo Marakwet wakiongozaa na gavana Jackson Mandago. Wamekuwa katika uwanja wa ndege wa Eldoret kupokea mwili huo. Anatarajiwa kufanyiwa ibada nyingine ya wafu katika kanisa moja mchana wa leo. Biwott atazikwa kesho nyumbani kwake eneo la Tot kaunti ya Elegeyo Marakwet.

Show More

Related Articles