HabariMilele FmSwahili

Mtu mmoja afariki katika ajali ya barabarani kaunti ya Machakos

Mwanamke mmoja amefariki papo hapo huku watu wengine 10 wakijeruhiwa vibaya kufuatia ajali ya barabarani katika eneo la Mikuyuni kaunti ya Machakos. Naibu kamanda wa trafikifi eneo la Machakos Jack Ila ameiambia Milele fm kwa njia ya simu kwamba matatu waliokuwa wakisafiria ilipinduka na kubingirika mara kadhaa. Amesema matatu hiyo ilikuwa ikiendshwa kwa kasi kabla ya ajali.

Show More

Related Articles