HabariMilele FmSwahili

Vyuo vyote kufungwa kufikia Agosti 4

Waziri wa elimu Dkt Fred Matiangi ameagiza vyuo vikuu vya umma kufungwa kufikia tarehe nne mwezi Agosti. Matiangi anasema hatua hii itawawezesha wafanyikazi kushiriki uchaguzi.

Show More

Related Articles