HabariMilele FmSwahili

CAK yaitaka upinzani kuheshimu jukumu la IEBC kutangaza matokeo ya urais

Upinzani umetakiwa kuheshimu jukumu la IEBC kutangaza matokeo ya urais Agosti nane. Mamlaka ya mawasiliano nchini C.A.K imeutaka upinzani sawa na vyombo vya habari vinavyotaka kujumlisha na kutangaza matokeo, kusubiri kwanza IEBC kufanya hivyo ili kuzuia taarifa kinzani. Serikali imeondoa hofu kuwa inalenga kufunga mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi

Show More

Related Articles