HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na Upwa : Grace Okungu anajikimu kwa kuuza ‘Mutura’ Kakamega

Mutura ni nyama inayopendwa sana hasa mitaani.
Wanasema nyama bila mitura basi si mlo kamili. Kutana na Grace Okungu, mama ya watoto sita ambaye, hupika na kuuza mitura katika mji wa Kakamega.
Ni kazi amabyo ameifanya kwa muda, na hata kumpa rizki yake na fmailia yake kubwa.
Kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii, Joab Mwaura anamwangazia Okungu.

Show More

Related Articles