HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Mgomo wa wahadhiri wa zaidi ya wiki tatu umesitishwa

Wahadhiri wa vyuo vikuu wamesitisha mgomo wao uliodumu kwa zaidi ya wiki tatu, baada wizara ya fedha kuwaahidi kuwa watapewa marupurupu ya takriban shilingi bilioni 5.2 zilizo salia ili kutekeleza mkataba wa makubaliano wa mwaka wa 2017/2021 kikamilifu.
Awali wiki jana serikali ilikuwa imewalipa takriban bilioni 4.7 kwa wahadhiri lakini wakapinga hilo wakitaka kiasi cha shilingi bilioni 10 kama ilivyo kwenye mkataba wa makubaliano.

Show More

Related Articles