Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kampeni za NASA zaandaliwa Nairobi,Bungoma na Kakamega

Vigogo wa NASA walielekeza kampeni zao sehemu tofauti za nchi ikiwemo kaunti ya Nairobi na vile vile magharibi mwa Kenya Bungoma na Kakamega.
Ujumbe mkuu leo umekuwa ni kule kutilia shime mnato wa himaya zao na hasa kuwarai wafuasi wao kujitokeza kwa asilimia 95 na zaidi na kutumbukiza kura kwenye debe la NASA.
Anders Ihachi alifuatilia msafara wa magharibi mwa Kenya ambapo pia tume ya IEBC imetakiwa iwe na uwazi na isitishwe na mrengo wowote.

Show More

Related Articles