HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosTop StoriesVideos

Buriani Nicholas Biwott : Ibada ya maombi imeandaliwa katika Kanisa la AIC Miliman

Ibada ya maombi kwa mwendazake waziri wa zamani Nicholas Biwott imefanyika leo katika kanisa la AIC Milimani jijini nairobi.
Ndugu ,jamaa na marafiki walikuwepo kutoa heshima zao akiwemo rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete pamoja na kinara wa muungano wa NASA Raila Odinga.
Licha ya kutokuwepo kwa jeneza la mwendazake kanisani,ibada viongozi mbalimbali walimsifu Biwott na kumtaja kama kiongozi mwenye utu kinyume na maoni ya baadhi ya wakenya.
Dan Kaburu alihudhuria misa hiyo na kuandaa taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles