HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu watatu wathibitishwa kuambukizwa Kipindupindu Mukuru kwa Njenga

Licha ya wizara ya afya hapo jana kutoa agizo la kufutilia mbali leseni zote za wachuuzi wa vyakula katika maeneo yote yanayouzwa chakula, ikiwemo mikahawa, K24 saa Moja imebaini leo kuwa bado wachuuzi wanaendelea na shughuli zao za kuuza vyakula, huku hofu ya kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu ikiendelea.
Aidha vijana watatu wamethibitishwa kuwa na ugonjwa huo wa Kipindupindu katika eneo la Mukuru kwa Njenga huku kampuni ya kusambaza maji jijini ikionya kuhusu kuwepo kwa mabomba yasiyo halali.

Show More

Related Articles