HabariMilele FmSwahili

Seneta Mungai akosoa matumizi ya fedha ya umma kaunti ya Nakuru

Seneta wa Nakuru James Mungai amekosoa matumizi ya fedha za umma kaunti ya Nakuru akisema Nakuru ni mojawapo ya kaunti ambazo zimekuwa zikipokea mgao wa juu wa fedha. Anasema kufikia sasa hakuna maendeleo yaliyoafikiwa na kaunti hiyo sasa inaorodheshwa kuwa ya 43 kimaendeleo. Anasema ili maendeleo kuafikiwa ni muhimu kuziba mianya ya wizi wa fedha za umma.

Show More

Related Articles