HabariMilele FmSwahili

Viongozi wasifia utendakazi wa mwendazake Biwott

Viongozi wameendelea kusifia utendakazi na mchango wa marehemu Nicholas Biwott na kumtaja kama kiongozi aliyekuwa mwenye hekima. Akiongea wakati wa ibada ya wafu ya mwendazake inayoendelea waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Amina Mohammed anasema Biwot alichangia kuimarisha utangamano wa mataifa ya kanda ya Afrika mashariki.Naye aliyekuwa rais wa Tanzania Jakaye Mrisho kikwetu amesimulia matukio tofauti aliyotangamana na marehemu Biwot hasa mchango wake katika kuimarisha miundo msingi eneo la afrika mashariki.

Show More

Related Articles